huduma
huduma
HUDUMA YA MANA
Karibu katika tovuti rasmi ya huduma ya MANA,hii ni Huduma ya Neno la Mungu, inayoongozwa na Neno kutoka katika kitabu cha Yohana 21:17 “Yesu akamwambia,”Lisha kondoo zangu“.Makao makuu ya huduma hii ni Arusha Tanzania. Nifuraha na baraka kuwa na wewe katika tovuti hii,karibu tujifunze pamoja

UJUMBE WA MWALIMU
Fuatilia ujumbe maalumu kutoka kwa Mwalimu, ili upate neno la Mungu na msingi wa kukuongoza katika maombi kwa mwezi husika