Tazama Redio iliyo karibu na wewe
Redio moja kwa wastani hufikia mikoa mitatu mpaka mikoa minne. Tuna mshukuru Mungu kwa Neema yake inayotuwezesha kufikia watanzania wengi.
mkoa | Redio | Siku | Muda |
---|---|---|---|
Kilimanjaro | Sauti ya Injili | Jumamosi | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku | ||
Dar es Salaam | Upendo redio | Jumamosi | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku | ||
Wapo FM | Jumatano | Saa tatu mpaka saa nne usiku | |
Iringa | Redio Furaha | Jumamosi | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Jumapili | Saa saba na nusu mchana mpaka saa nane na nusu mchana | ||
Mbeya | Rungwe FM | Jumamosi | Saa kumi na mbili mpaka saa moja asubuhi |
Jumapili | Saa kumi na mbili mpaka saa moja asubuhi | ||
Shinyanga | Faraja FM | Jumamosi | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku | ||
Divine FM | Jumatatu | Saa tatu mpaka saa nne usiku | |
Jumanne | Saa tatu mpaka saa nne usiku | ||
Tabora | Radio VOT | Jumatano | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
CG FM | Ijumaa | Saa tatu mpaka saa nne usiku | |
Dodoma | Radio Uzima | Jumamosi | Saa Mbili na nusu mpaka tatu na nusu usiku |
Jumapili | Saa Mbili na nusu mpaka tatu na nusu usiku |
"Ungana nasi katika kumshukuru Mungu, na kumtukuza katika jina la Yesu Kristo, kwa jinsi ambavyo anawahudumia watu wake."
Mana 2022